Wanangu podcast podcast artwork

Wanangu podcast

by Goodluck Joseph · EN · Arts, Society & Culture

This podcast is hosted by Goodluck Joseph, a curious guy who likes to share all the things he finds interesting in the form of a podcast episode. In other words, this podcast is an extension of his personality and more. Expect to hear topics that range from music, movies, and books to random ideas, all presented in a creative manner.

118episodes
2025first episode
Weeklynew episodes
16 mintypical episode

Latest episodes

  1. Episode 118 | Tukutane Zanzibar.

    Katika episode hii, host anaelezea dhana ya The Compound Effect kwa kutumia mifano rahisi na ya kueleweka kiasi kwamba hata mtoto wa miaka mitano anaweza...

    12 min
  2. Episode 117 | Urembo Unauma.

    Kwa nini safari ya kutafuta urembo mara nyingi huambatana na maumivu, hasa kwa wanawake? Kuanzia desturi za kihistoria kama kufunga miguu nchini China (Foot...

    17 min
  3. Episode 116 | Fredrick Mulla: Muziki, Nidhamu na Beef.

    Katika episode hii, host anaungana na mwanamuziki na mchambuzi wa muziki, Fredrick Mulla, kujadili masuala mbalimbali yanayogusa muziki na maisha kwa ujumla....

    1 h 31 min
  4. Episode 115 | Mkono wa Kushoto au Kulia: Nani Aliamua?

    Katika episode hii, tunajadili jambo ambalo wengi wetu hulichukulia kama la kawaida bila kujiuliza maswali mengi: kwa nini baadhi ya watu hutumia mkono wa...

    13 min
  5. Episode 114 | Akili Pekee Hazitoshi

    Katika episode hii, Host anajadili kwa nini akili pekee haitoshi kumfikisha mtu mbali kimaisha. Je, ni nani mwenye nafasi kubwa ya kufanikiwa kati ya mtu...

    13 min
  6. Episode 113 | Tusisahau Kuishi

    Katika harakati za kufikia malengo yetu na kujenga maisha tunayotamani, mara nyingi tunasahau kufurahia maisha tunayoyaishi sasa. Katika episode hii, Host...

    12 min
  7. Episode 112 | Hakikisha Upo Mtandaoni! Ft. John Viva.

    Katika episode hii, Host anaungana na mtaalamu wa masuala ya taarifa, Bwana John Viva, kudadavua umuhimu wa kuwa na uwepo mtandaoni katika ulimwengu wa sasa....

    29 min
  8. Episode 111 | Pesa Haitakuwa na Thamani Ifikapo 2036? Ft. Baraka Kambi.

    Pale mtu tajiri zaidi duniani anaposema kuwa pesa huenda isiwe na thamani yoyote ndani ya miaka kumi ijayo, ni kauli inayozua maswali mengi kuliko majibu....

    24 min
  9. Episode 110 | Tunafuata Muziki au Tunatafuta Likes?

    Katika episode hii, host anaibua swali: je, kadri tunavyozidi kwenda mbele, mashabiki wanapoteza uhusiano wao wa moja kwa moja na muziki na kuanza kujali...

    9 min
  10. Episode 109 | Malengo Yanavyoweza Kukupoteza

    Katika episode hii, Host anatoka nje ya box na kukuletea wazo linalokwenda kinyume na matarajio ya wengi: kwamba kama unataka kufanikiwa zaidi katika...

    16 min
  11. Episode 108 | Fikra Sahihi Huja Kwa Lugha Asili

    Fuatilia jinsi mstari mmoja wa Nash Mc unavyoweza kuzalisha maswali mengi na yenye kutafakarisha kuhusu uhusiano na kutegemeana kati ya lugha na fikra. Ni...

    13 min
  12. Episode 107 | A.k.a Mimi by Ngwair (Uchambuzi)

    Katika episode hii, Host anaichambua album ya kwanza ya Ngwair, A.K.A Mimi, na kueleza mambo aliyogundua baada ya kuisikiliza tena akiwa mtu mzima. Wakati...

    25 min
  13. Episode 106 | Usiamini Hadithi Moja Tu

    Katika episode hii, tunaangazia tabia ya kuchukua hadithi ya mtu mmoja na kuitumia kama ushahidi wa kuhitimisha jambo kubwa zaidi. Kupitia mifano ya maisha...

    11 min
  14. Episode 105 | Kampuni Inayouza Rangi Bila Kuuza Rangi!

    Katika Episode hii, tunaangazia historia ya kuvutia ya Pantone, mfumo uliobadilisha namna dunia inavyotambua, kuwasiliana na kutumia rangi. Tutafuatilia...

    11 min
  15. Filamu ya Afrika Iliyowahamasisha Jay-Z na Beyoncé

    Je, ni nini kinachofanya filamu iliyotengenezwa Afrika zaidi ya miaka 50 iliyopita iendelee kuzungumziwa, kupongezwa na hata kuwavutia mastaa kama Jay-Z na...

    21 min
  16. Episode 103 | Usichokimaliza Hukaa Akilini

    Katika episode hii, Host anaangazia dhana ya kisaikolojia inayojulikana kama ‘The Zeigarnik Effect’, inayoeleza kwamba binadamu huwa na uwezo mkubwa zaidi wa...

    13 min
  17. Kupenda Kwangu 'Titles' Kunanigharimu

    Katika episode hii, host anakukaribisha ndani ya mawazo yake na kukuonyesha mchakato halisi anaoupitia kila anapotafuta title ya episode mpya. Ni safari...

    12 min
  18. Episode 101 | Timamu Kati ya Wasio Timamu

    Katika episode hii, host anachambua utafiti maarufu uliofanywa na Dkt. David Rosenhan mwaka 1973, uliouliza swali muhimu kuhusu uwezo wa wataalamu wa afya ya...

    16 min
  19. Episode 100 | Kwanini Iliitwa Wanangu Podcast?

    Host anaadhimisha kwa furaha kufikiwa kwa episode ya 100 ya Wanangu Podcast, akitoa shukrani za dhati kwa kila aliyekuwa sehemu ya safari hii, kuanzia...

    20 min
  20. Episode 99 | Tofauti Kati ya Single, EP na Album

    Muziki hutolewa kwa mifumo tofauti kama Single, EP, na Album, lakini je, unafahamu tofauti kati ya aina hizi za utoaji wa muziki na sababu zinazowafanya...

    18 min

Showing the latest 20 of 118. Every episode is in the API: GET /v1/podcasts/pod_4x1eyhf6r4b52rj7gzhphes9b2/episodes

More arts podcasts →