Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Waziri wa Mambo ya Nje, Penny Wong, anatarajiwa kutetea ushirikiano wa Australia na Marekani katika hotuba muhimu kuhusu sera za mambo ya nje leo. Seneta...
Mkutano uliowaleta pamoja Rais wa Kenya William Ruto na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, pamoja na rais wa Togo Faure Gnansigbe...
Feral and invasive animal species are causing significant damage to Australia’s environment and threaten the existence of many native wildlife species. In...
Waziri Mkuu Anthony Albanese, ametumia hotuba yake kwenye mkutano wa kilele wa APEC, kuzungumza moja kwa moja na Rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusu vita...
Serikali za Tanzania na Uganda zina jadili uwezekano wakupunguza gharama za uchukuzi nakuondoa vikwazo vya biashara kati ya nchi hizo mbili.
Wiki hii, pengo la malipo kati ya jinsia nchini Australia limepungua hadi chini ya asilimia 20 kwa mara ya kwanza, tangu Shirika la Usawa wa Kijinsia Mahali...
Waziri Mkuu Anthony Albanese ameonekana katika picha ya pamoja na Rais Vladimir Putin wa Urusi katika siku ya ufunguzi wa mkutano wa kilele wa APEC mjini...
Imeripotiwa kuwa wagonjwa wengi wanao pokea matibabu ya virusi vya Ebola, katika Jamhuri yakidemokrasia ya Kongo wana kufia katika vituo vya matibabu.
Waziri wa Hazina wa serikali ya shirikisho anasema hatakubali mapendekezo mbadala ya wabunge huru na vyama pinzani kuhusu mswada wa mageuzi ya kodi wa chama...
Mkutano wa viongozi wa nchi za Kusini-Mashariki mwa Asia (ASEAN) ulianza jana Jumatatu na tamati yake ni leo Jumanne, muda mfupi baada ya mkutano wa kilele...
Serikali ya shirikisho imetangaza dola milioni 88 za ziada ili kukuza, kutoa mafunzo na kudumisha nguvu kazi ya ndani ambayo inasema inahitajika ili kutoa...
Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu usiku wakuamkia baada yaku hudhuria sherehe?
Serikali ya Kenya imethibitisha kuwa, kwa sasa inawahifadhi takriban raia Elfu 40,000 ambao wameingia nchini humo kufuatia mapigano katika baadhi ya maeneo...
Seneta huru David Pocock, amemkosoa Waziri Mkuu Anthony Albanese kwa kushindwa kutaja nishati ya visukuku katika wito wake wa kuchukua hatua za kimataifa...
Waaustralia wanahimizwa kuwa waangalifu kuhusu kupokea ushauri wa kifedha kutoka kwa matangazo au watu wanaowapigia simu bila idhini wakiwataka wabadilishe...
Serikali za Queensland na Wilaya ya Kaskizini, zinakabiliwa na ukosoaji baada ya kumzuia afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa kukagua vituo vya kuzuilia vijana.
Chama cha Labor cha jimbo la Victoria kimeahidi sera mpya kali dhidi ya uhalifu, ambayo inaweza kuwaweka vijana wahalifu kizuizini kwa lazima kwa hadi mwaka...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lime idhinisha majaribio ya chanjo mbili mpya, dhidi ya ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Wataalamu wa afya ya wanawake wanatoa wito kwa serikali kuchukua hatua ili kushughulikia upungufu katika huduma za baada ya kujifungua katika maeneo ya...
Mchakato wa uchaguzi katika jimbo la Victoria umeanza rasmi, huku Gavana Margaret Gardner akitia saini nyaraka rasmi za kuitisha uchaguzi huo.
Showing the latest 20 of 1,078. Every episode is in the API: GET /v1/podcasts/pod_7nfrbm2afmas8bj9hbkjy9j5jp/episodes