Neno la Leo podcast artwork

Neno la Leo

by Neno la Leo 255 · SW · Religion & Spirituality, Christianity

Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana (Zaburi 118:24). Anza siku mpya ya Yesu kwa kusiliza na kutafakari nasi “Neno la Leo” kila siku kwa lugha ya Kiswahili.

153episodes
2026first episode
Severalepisodes a week
15 mintypical episode

Latest episodes

  1. Hata Wakati wa Maumivu, Endelea Kumwita Mungu!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 17:20–24 Unaweza Kuwa na Imani na Bado Ukalia! Jana tuliona jinsi Mungu alivyomtunza mjane wa Sarepta na mwanawe wakati...

    16 min
  2. Kabla Hujalalamikia Usichonacho, Angalia Ulichobakiwa Nacho!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 17:12–16 Jana tulimwona Mungu akimtunza nabii Eliya kupitia kunguru karibu na kijito cha Kerithi. Lakini baada ya muda,...

    20 min
  3. Usikate Tamaa, Mungu Anaweza Kufungua Njia Usiyoitarajia!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 17:2–6 Leo tunaanza wiki yetu ya mwisho kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Baada ya kujifunza kuhusu Sulemani na wafalme...

    9 min
  4. Fanya Yaliyo Sahihi Hata Wengine Wasipofanya!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 15:11–14 Leo tunafika mwisho wa wiki yetu ya tatu kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika siku zilizopita tumeona jinsi...

    19 min
  5. Usiruhusu Zawadi Ikutoe Katika Njia ya Mungu!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 13:7–10 Leo tunakutana na mtu wa Mungu aliyetumwa kutoka Yuda kwenda Betheli kumfikishia Mfalme Yeroboamu ujumbe wa...

    15 min
  6. Unaweza Kurithi Kitu Kikubwa, Lakini Kiburi Kikakubomolea!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 12:13–16 Jana tulimwona Rehoboamu akipokea ushauri kutoka kwa wazee waliokuwa wamemtumikia baba yake...

    14 min
  7. Wakati Mwingine Ushauri Bora Ndio Mgumu Zaidi Kuupokea!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 12:6–8 Baada ya kifo cha Sulemani, mwanawe Rehoboamu anachukua nafasi ya ufalme. Lakini wananchi wanamwomba awapunguzie...

    9 min
  8. Usisahau Mungu Aliyekuinua!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 11:9–11 Jana tuliona jinsi moyo wa Sulemani ulivyoanza kugeuka kutoka kwa Mungu. Leo tunaona matokeo ya maamuzi...

    11 min
  9. Usiruhusu Mafanikio Yakutenge na Mungu!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 11:1–4 Jana tulimwona Sulemani akiwa katika kilele cha mafanikio yake. Alikuwa na hekima, utajiri na heshima kiasi kwamba...

    19 min
  10. Maisha Yako Yawe Ushuhuda kwa Wengine!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 10:6–9 Leo tunaanza wiki yetu ya tatu kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Jana tulimwona Mungu akimkumbusha Sulemani umuhimu wa...

    9 min
  11. Mafanikio Yasikufanye Umsahau Mungu!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 9:4–5 Leo tunafika mwisho wa wiki yetu ya pili kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika siku zilizopita tumemwona Sulemani...

    23 min
  12. Mungu ni Mkuu Kuliko Unavyofikiria!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 8:27–30 Jana tuliona jinsi utukufu wa Mungu ulivyolijaza Hekalu la Sulemani. Leo tunamsikia Sulemani akiomba wakati wa...

    21 min
  13. Usivutiwe na Jengo Ukamsahau Mungu wa Jengo!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 8:10–13 Leo tunafika katika hatua muhimu sana ya historia ya Israeli. Baada ya maandalizi na kazi kubwa ya ujenzi, Hekalu...

    15 min
  14. Usidharau Kipawa Ambacho Mungu Amekupa!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 7:13–14 Leo tunaendelea na simulizi ya ujenzi wa Hekalu la Bwana katika kipindi cha utawala wa Mfalme Sulemani. Katika...

    10 min
  15. Unaweza Kuwa Busy na Kazi ya Mungu Ukamsahau Mungu Mwenyewe!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 6:11–13 Jana tulimwona Sulemani akitumia kipindi cha amani kujiandaa kujenga Hekalu la Bwana. Leo ujenzi unaendelea....

    10 min
  16. Mungu Amekupa Utulivu, Unautumia Kufanya Nini?

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 5:4–5 Leo tunaendelea na safari yetu kupitia kitabu cha 1 Wafalme na tunamwona Sulemani akijiandaa kujenga Hekalu la...

    10 min
  17. Kujua Mengi Sio Sawa na Kuwa na Hekima!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 4:29–30 Jana tulimwona Sulemani akitumia hekima kutatua mgogoro wa wanawake wawili waliokuwa wakigombania mtoto. Leo...

    11 min
  18. Hekima ya Kweli Huonekana Katika Maamuzi!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:23–28 Leo tunafika mwisho wa wiki yetu ya kwanza kupitia kitabu cha 1 Wafalme. Katika siku zilizopita tulimwona...

    13 min
  19. Sulemani Aliomba Hekima, Mungu Akampa Zaidi!

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:10–14 Jana tulimwona Sulemani akiomba hekima badala ya utajiri, maisha marefu au ushindi dhidi ya maadui zake. Leo...

    19 min
  20. Unaomba Baraka, Lakini Je, Una Hekima ya Kuzisimamia?

    🎙️ Leo kwenye Neno la Leo 1 Wafalme 3:5–9 Leo tunamwona Sulemani akiwa katika mwanzo wa utawala wake. Mungu anamtokea katika ndoto na kumwambia aombe kile...

    23 min

Showing the latest 20 of 153. Every episode is in the API: GET /v1/podcasts/pod_0nh3951drtapxvg0m0xj4g20q4/episodes

More religion & spirituality podcasts →