Innocent Morris podcast artwork

Innocent Morris

by Innocent Morris · SW · Religion & Spirituality, Education

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

130episodes
2022first episode
Weeklynew episodes
4 of 20recent transcripts

Latest episodes

  1. MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris

    Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba...

    48 min
  2. ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni...

    49 minTranscript
  3. ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni...

    22 minTranscript
  4. ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris

    Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi. Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni...

    1 h 9 minTranscript
  5. JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 4 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu...

    1 h 8 min
  6. JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 3 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu...

    1 h 6 min
  7. JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 2 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu...

    1 h 31 min
  8. JINSI YA KUCHOCHEA MOTO WA MAOMBI Part 1 - Innocent Morris

    Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu...

    1 h 1 min
  9. JINSI YA KUTUMIA DAMU YA YESU - Innocent Morris

    Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima...

    59 min
  10. THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris

    Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya...

    1 h 17 minTranscript
  11. KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris

    Katika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi...

    59 min
  12. DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Ubarikiwe...

    1 h 5 min
  13. JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Katika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo...

    1 h 6 min
  14. JINSI YA KUWA NA URAFIKI WA KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu. Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo...

    1 h 16 min
  15. KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake...

    1 h 7 min
  16. ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris

    Katika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano: Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini? Nahisi Roho...

    1 h 8 min
  17. MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Katika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye...

    1 h 1 min
  18. JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

    Ikiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu...

    1 h 3 min
  19. JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris

    Mungu akubariki sana. Ubarikiwe sana. Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact:...

    56 min
  20. MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris

    Haya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako. "Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa...

    34 min

Showing the latest 20 of 130. Every episode is in the API: GET /v1/podcasts/pod_6z5p3vt79va459cgct07hh8stg/episodes

More religion & spirituality podcasts →