Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu podcast artwork

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

by United Nations · SW · News, Daily News

Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

211episodes
2026first episode
Severalepisodes a week
9 mintypical episode

Latest episodes

  1. 25 NOVEMBA 2026

    Leo Novemba 25 ni Siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake kaulimbiu ikiwa Paza Sauti, Waamini Manusura, Dai Haki, msingi ukiwa kwamba mara...

    9 min
  2. 24 NOVEMBA 2026

    Karibu kusikiliza jarida la habari za Umoja wa Mataifa ikiwa leo ni siku ya mwisho ya wiki ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu usugu wa viuavijasumu, na...

    9 min
  3. 23 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Tuko bado na Wiki ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu athari za usugu wa viuavijasumu, antibayotiki au kama...

    10 min
  4. 20 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda UNIDO limechukua hatua kuendeleza viwanda hadi...

    9 min
  5. FAO yaimarisha ufugaji wa samaki na teknolojia ya kilimo nchini Zimbabwe

    Nchini Zimbabwe, ufugaji wa samaki aina ya tilapia na matumizi ya teknolojia ya kidijitali vinawasaidia wakulima kuongeza uzalishaji na kupata masoko mapya....

    2 min
  6. 19 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunaangazia simulizi ya manusura ya Usugu dhidi ya viuavijasumu (AMR) nchini Kenya, mauaji ya kimbari ya waRohingya nchini Myanmar, na kilim...

    11 min
  7. “Usugu dhidi ya viuavijasumu AMR hauonekani, lakini mimi ninaonekana” - Manusura John Kariuki

    Usugu dhidi ya viuavijasumu (AMR) au antibiotiki ni tishio lisiloonekana kwa macho, lakini madhara yake yanaweza kugharimu maisha. Shirika la Afya la Umoja...

    3 min
  8. ICJ yasema serikali ya Mynmar ilitekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Warohigya

    Mahakama ya Umoja wa Mataifa kuhusu Haki, (ICJ) imesema kuwa Myanmar ilifanya mauaji ya kimbari dhidi ya jamii ya wachache ya Warohingya jimboni Rakhine....

    3 min
  9. Sitaki kurudi Ethiopia - Mkimbizi Moyale, Kenya

    Leo tunakwenda Moyale eneo lililoko Kaunti ya Masarbit, kaskazini mwa Kenya ambako Assumpta Massoi kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa...

    8 min
  10. 18 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo leo inakupeleka Moyale eneo lililoko Kaunti ya Masarbit, kaskazini mwa Kenya ambako Assumpta Massoi kupitia...

    9 min
  11. 17 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo leo inakupeleka Kigoma, kaskazini magharibi mwa Tanzania kumulika uchakataji wa samaki na dagaa bila...

    10 min
  12. 16 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia silaha za vita zinazojiendesha zenyewe, pamoja na muhtasari wa habari za masuala ya amani na haki za...

    9 min
  13. Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu milioni 30.3 hatarini

    Kwa mujibu wa Mfumo wa Umoja wa Umoja wa Mataifa wa tathimini ya viwango vya uhakika wa chakula IPC, hali ya uhaba mkubwa wa chakula inatarajiwa kuwa mbaya...

    2 min
  14. 13 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunaangazia uhakika wa chakula nchini DRC, kilmo na mbegu bora nchin Zimbabwe, na biashara ndogondogo na ufugaji kuku kwa wanawake wenye...

    9 min
  15. Kuwa na ulemavu hakujazima ndoto yangu ya ujasiriamali - Pikoti Chepkemoi

    Nchini Kenya, Pikoti Chepkemoi, mwanamke mwenye ulemavu wa miguu kutoka Kaunti ya Pokot Magharibi, ameweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwa na changamoto za...

    3 min
  16. FAO yawasaidia wakulima nchini Zimbabwe kukabiliana na ukame na kulinda mifugo

    Nchini Zimbabwe, ambako ukame unaathiri uzalishaji wa chakula, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO, linawasaidia wakulima kutumia mbinu za...

    2 min
  17. 12 NOVEMBA 2026

    Leo Novemba 12 mwaka 2026, serikali ya Kenya inaanza kuhesabu siku 42 za kufuatilia iwapo kutaibuka tena maambukizi ya Ebola. Hii ni baada ya mgonjwa wa...

    9 min
  18. Vijana wasiachwe nyuma - Sara Pima

    Tunasalia huko huko Antalya Uturuki kwenye COP31 ambako Sara Pima kutoka Tanzania. Yeye ni Mjumbe wa Kamati ya Mkataba wa Paris wa mabadiliko ya tabianchi...

    2 min
  19. Matumizi ya nishati safi ni kiashiria cha mafanikio ya hatua kwa tabianchi - Guterres

    Maendeleo makubwa yaliyopatikana katika matumizi ya nishati safi duniani yanaonesha kuwa mabadiliko ya haraka kuelekea uchumi usiotegemea nishati za kisukuku...

    3 min
  20. 11 NOVEMBA 2026

    Hii leo jaridani tunaangazia juhudu za kukabiliana na mabadliko ya tabianchi, na mazishi salama ya miili ya waathirika wa Ebola nchini DRC. • Maendeleo...

    9 min

Showing the latest 20 of 211. Every episode is in the API: GET /v1/podcasts/pod_4094f8n75gb7sstcney57s45c1/episodes

More news podcasts →