Dakika 10 Za Kocha · Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Soma #BaruaYaKocha hapa; #BZK138; Tofauti Kwenye Mfanano, Njia Pekee Ya Kupata Na Kulinda Mafanikio Makubwa Kwenye Zama Za Akili Unde (AI) Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support. Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO. Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika. Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea. Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi; #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/ #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/ Karibu ujifunze.
0:01Speaker 1Daki Kakumi Zakocha, number 138.
0:06Speaker 2Tofauti kwenye mfanano.
0:09Speaker 1Jiapeke ya kupata na kulinda mafanikio makubwa kwenye zama za
0:14Speaker 1akili unde au AI. Karibu, rafi yangu mpeno, pichako mpeno,
0:19Speaker 1achade Kakumi Zakocha. Konami rafiki yako, Kocha Dr. Makita Amani,
0:22Speaker 1Daktari Kocha Wandishi Nangufunzi. Na kwenye pindi hivi, Tuna jifunza
0:28Speaker 1kuhusu mafanikiyo Yani kujenga tabia na ithamsa ya mafanikiyo Jifunza
0:32Speaker 1kuhusu fedha Kujenga utajiri na huruwa kifeda Natoa jifunza kuhusu
0:36Speaker 1biyashara Kujenga biyashara na jendesha Bida utagimia wewe moja kwa
0:40Speaker 1moja Ni ukaribisha sa rafiki yangu We bincha leo ambako
0:43Speaker 1tunanda kwa nga Jinsi ya kutengiza tofauti Kwenye mfanano usiokua
0:48Speaker 1kawaida Ambao upo kwenye zamahizi Za akili unde Rafiki hatimae
0:55Speaker 1Tumifika atua ambayo Kila kitu sasa kinafanana. Ujiwa akileonde, artificial intelligence,
1:03Speaker 1umewapa watu wote nguvu sawa ya kuzalisha chochote watu taka.
1:10Speaker 1Ugumu uko nyuma, kwenye kuzalisha fitumarimbali, ambao pia ndo uli