Biblia Maishani Mwetu podcast artwork

Biblia Maishani Mwetu podcast · Kelvin Seslius Nchimbi

Jinsi Ya Kupata Utulivuwa Moyo na Aman wakati wa dhoruba

lTunakushukuru kwa Yesu Kristo, ambaye ana mamlaka juu ya dhoruba zote. Tunakiri kwamba mara nyingi tunaruhusu hofu kutawala mioyo yetu. Tunakuomba utujalie imani thabiti, ili tuweze kuamini uwepo wako na uwezo wako wa kutuliza dhoruba za maisha yetu. Tujaze amani yako isiyoelezeka, ili tuweze kutulia hata katikati ya changamoto. Katika jina la Yesu tunaomba na kuamini. Amina. Asante sana kwa kuwa nasi leo. Nakutakia wiki njema, iliyojaa amani na utulivu wa Kristo. Tukutane tena kipindi kijacho! Mungu awabariki sana. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support.

Oct 192026
5 minlength
61transcript lines
Publishertranscript source

Transcript first 15 of 61 lines

0:00Speaker 1Kipindi, Amani Ndani ya Thoruba, Siri ya Utulivu wa Kristo. Mwalimu,

0:08Speaker 1habari za wakati huwa pendo wa sikilizaji na wanafunzi wa

0:11Speaker 1neno la mungu. Karibu sana kunye kipindi chetu cha leo,

0:16Speaker 1ambacho kimejatu maini na uhai. Je, umewai kujikuta katikati ya

0:21Speaker 1Thoruba ya maisha? Iwe ni changamoto za kifetha, mahusiano magumu, hugonjwa,

0:28Speaker 1Au hata mashaka ya kiroho, na uka jiuliza, amani yangu

0:33Speaker 1iko wapi? Leo, tutagundua siri ya kupata utulivu wa moyo

0:38Speaker 1na amani ya kristo katika changamoto, tukichota hekima kutoka kwenye

0:43Speaker 1neno la mungu. Fungua biblia yako nami, au sikiliza kwa

0:48Speaker 1makini tunapo chunguza simulizi lenye nguvu sana kutoka katika kitabu

0:53Speaker 1cha Marko ne, mstari wa 35 hadi 41 moja. Simulizi

0:58Speaker 1hili linatupa picha halisi ya kile kinachotokea tunapokutana na dhoruba,

1:04Speaker 1na jinsi tunaviweza kupata amani hata katikati yake. Nenola Mungu linasema.

1:12Speaker 1Sikuile Gioni, aka wambia, natuvuke mpaka ngambo. Wakachana na makutano,

1:19Speaker 1wakamchukua vile vile alivyo katika chombo. Na vyombo vingine, walikuwa

More Biblia Maishani Mwetu podcast episodes →