Biblia Maishani Mwetu podcast · Kelvin Seslius Nchimbi
Familia ya Biblia Maishani Mwetu, tunafika katika moja ya mafundisho ya Yesu ambayo ni magumu zaidi kuyasikia, lakini pia ni yenye nguvu sana katika maisha ya Mkristo. Yesu anasema: “Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki. Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo? Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo? Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.” Katika mafundisho ya kale, watu walijua vizuri sehemu ya kwanza: “Umpende jirani yako.” Lakini kwa muda mrefu, watu waliongeza tafsiri yao wenyewe: “Umchukie adui yako.” Hivyo upendo ukawa na mipaka. Unampenda mtu wa familia. Unampenda rafiki yako. Unampenda anayekuheshimu. Lakini anayekuudhi, anayekudharau, anayekuumiza — huyo anakuwa adui. Na katika mawazo ya kawaida ya mwanadamu, adui hastahili upendo. Lakini Yesu anapokuja, anavunja kabisa mfumo huo. Anasema: “Wapendeni adui zenu.” Hii ni amri ambayo inapingana kabisa na asili ya mwanadamu. Kwa sababu kawaida tunafanya kinyume chake. Tunawapenda wanaotupenda, na tunawaepuka au kuwachukia wanaotuumiza. Lakini Yesu anafundisha kiwango cha juu zaidi cha upendo — upendo unaotoka kwa Mungu. Yesu anasema pia: “Waombeeni wanaowaudhi.” Hii ni hatua ya ajabu sana. Kwa sababu ni vigumu kumchukia mtu ambaye unamuombea. Unapomleta mtu mbele za Mungu katika maombi, moyo wako unaanza kubadilika. Hasira inapungua. Chuki inaanza kuyeyuka. Na polepole unaanza kuona mtu huyo kwa macho ya Mungu. Yesu anaeleza sababu ya mafundisho haya. Anasema: “Ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni.” Kwa maneno mengine, tunapowapenda hata adui zetu, tunaonyesha tabia ya Baba yetu wa mbinguni. Kwa sababu Mungu mwenyewe anafanya hivyo kila siku. Yesu anasema Mungu huwaangazia jua lake waovu na wema. Jua linachomoza kwa mtu mwema na kwa mtu mwovu. Mvua inanyesha kwa mwenye haki na kwa asiye haki. Mungu haonyeshi wema wake kwa watu wanaompenda tu. Anawaonyesha wote. Hii ndiyo neema ya Mungu. Yesu anaendelea kuuliza swali la kutafakari. “Mkiwapenda wanaowapenda ninyi, mwapata thawabu gani?” Kwa maneno mengine — hiyo si kitu cha ajabu. Hata watu wasiomjua Mungu wanafanya hivyo. Hata watoza ushuru, ambao walichukuliwa kuwa watu wabaya katika jamii ya wakati huo, waliwapenda watu waliowapenda wao. Yesu anasema pia: “Mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada?” Hapa Yesu anafundisha kwamba watu wa ufalme wa Mungu wanapaswa kuwa tofauti. Upendo wetu haupaswi kuwa wa kawaida tu. Unapaswa kuwa wa ziada. Upendo unaopita mipaka ya urafiki, ukoo, au makundi yetu. Ndipo Yesu anamalizia kwa maneno yenye uzito mkubwa sana. “Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa...
0:00Speaker 1Familiar ya bibiliamshanimuetu tunafika, katika, modyayam a fundiicio ya yesu
0:06Speaker 1and bayonimagu Muzahidi Quiasikia Lakinipia, nienianguvu sana katika maishaam cristo
0:13Speaker 1yesu anaseema messikiya kwamba emenenoa umpende girraniako na um chukie
0:21Speaker 1Aduyako lakini mimi now Ambia wapendeni aduizenu waumbeenny one how
0:27Speaker 1wa wu thei ili m patkuawanaur Babaienuali and Benguoni mana
0:32Speaker 1ye ye hu Anghazia. You are laky wao vu nawema
0:36Speaker 1huen yesheham vuo when ye haki nowasi your haki mana
0:40Speaker 1umkia pendawaawa pendangnini Marpatathawa Burgani, hatawatos aushuru je now hawafania
0:48Speaker 1ohio tena umkiam ki and douzenu too mna tenda tendogani
0:54Speaker 1la ziada hatawatamataifa je now Hawafani came ohio bassi niniam
1:01Speaker 1takuawa Kameilifu came a babayenu and Binguoni, I leave you
1:05Speaker 1kamilifu katikama fundihoya cale what to alid you have vizuri
1:12Speaker 1sehemuya kwanza umpendeji raniako lakini kuamu dam brefu wa to
1:18Speaker 1all young gaze out of Syria jewe umchukie adu yako
1:22Speaker 1hivio upendo ukawanami paka unampendam to a familiar unam penderafikiako