Biblia Maishani Mwetu podcast artwork

Biblia Maishani Mwetu podcast · Kelvin Seslius Nchimbi

Hotuba Mlimani | Usiape kabisa, Ndio yako iwe na sio yako iwe sio|

Familia ya Biblia Maishani Mwetu, tunaendelea tena kusikiliza sauti ya Mfalme wetu Yesu Kristo katika Hotuba ya Mlimani. Na leo anagusa eneo ambalo linaonekana dogo kwa maneno, lakini lina uzito mkubwa sana katika maisha ya kila siku — ukweli wa maneno yetu. Yesu anasema: “Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako; lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu; wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu. Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi. Bali maneno yenu yawe Ndiyo, ndiyo; Siyo, siyo; kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.” Katika nyakati za Yesu, watu walikuwa wamejenga mfumo wa viapo. Walikuwa wanaapa kwa mbingu, kwa nchi, kwa Yerusalemu, kwa hekalu — si kwa sababu wanamcha Mungu, bali kwa sababu maneno yao hayakuaminika. Kiapo kilikuwa mbadala wa uaminifu. Mtu akisema tu “ndiyo” haikuaminika. Ilibidi aape ndipo aonekane anasema kweli. Na Yesu anapokuja, anaangusha mfumo mzima. Anasema: kama moyo wako ni wa kweli, huna haja ya kuapa. Kwa nini? Kwa sababu ufalme wa Mungu haujengwi juu ya mbinu za kuthibitisha maneno — unajengwa juu ya tabia ya mtu Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support.

Mar 12026
5 minlength
75transcript lines
Publishertranscript source

Transcript first 15 of 75 lines

0:00Speaker 1Familiar Yeah, bibleimueto Tnndelia tensa sauti and ful mail to

0:06Speaker 1yours crystal Katakaho t bay Emily money, nalo and abua

0:10Speaker 1and neo umbalo Linokana dog or Kamaneno lakinilino u zitum

0:14Speaker 1kuba killa, sicoli woman and oya two yes on sema

0:20Speaker 1tena mesikia watakli Well if you're mbia usia pe wongo

0:26Speaker 1ilam timi ya posaco lakini mimina Amba usia pe cabisa

0:32Speaker 1hata coom bingo command and dicho kit teacher in Zicha

0:35Speaker 1Mungo Walla Quachi command and diopakaguyake walla quau Salem command

0:42Speaker 1and your one falmeme co Walao Chaco mana Huasi kofan

0:49Speaker 1lem modia quampe AlSi bally man Jeno yah and dio

0:55Speaker 1dio ceo Ceo kokua yazid ohio yea took a quayulemvo

1:01Speaker 1katakti is a yeso what equal med youngam fum viapo

1:06Speaker 1welliquo and aba quam Bingo quanchi kuairu slemo quah he

1:10Speaker 1Carlo seek sababo and am cha mungo barley, quasa Babu

1:14Speaker 1maneno ya or higher quaminica kiirapo kiliquam badela or warm

More Biblia Maishani Mwetu podcast episodes →