Biblia Maishani Mwetu podcast artwork

Biblia Maishani Mwetu podcast · Kelvin Seslius Nchimbi

Hotuba Mlimani | Kuhusu kutoa sadaka |

Familia ya Biblia Maishani Mwetu, sasa tunaingia katika sehemu mpya ya mafundisho ya Yesu ndani ya Hotuba ya Mlimani. Hapa Yesu anaacha kuzungumza kuhusu mahusiano kati ya watu, na sasa anaelekeza macho yetu kwenye kitu cha ndani zaidi — mahusiano yetu na Mungu. Yesu anasema: “Angalieni msifanye wema wenu machoni pa watu, kusudi mtazamwe na wao; kwa maana mkifanya kama hayo, hampati thawabu kwa Baba yenu aliye mbinguni.” Kwa maneno mengine, Yesu anatufundisha kwamba nia ya moyo ni muhimu kuliko tendo lenyewe. Mtu anaweza kufanya jambo jema sana — lakini sababu yake isiwe kumtukuza Mungu, bali kujitukuza mwenyewe. Na hapo ndipo ibada inageuka kuwa maonyesho. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support. Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/biblia-maishani-mwetu-podcast--6804433/support.

Mar 152026
4 minlength
62transcript lines
Publishertranscript source

Transcript first 15 of 62 lines

0:00Speaker 1Familiar yabibilia, mashannimueto sasa to ningia katka sahemum piayam a,

0:05Speaker 1fundiho ya yesu, daniahoto bay Aamlemani Hapa yeso and Ajakuzungumza Kuhusu,

0:11Speaker 1Mausiano katiawatu nasassa and ale keza macho yetu kunyikit to

0:16Speaker 1chandanni Zaidi Mausiano yeto na mungo yes onna sema angaglieni, sifanio, mawennu, machuronipawatu,

0:26Speaker 1kusu dimmed taza, munawau commanandam kifanya kamahayo m pati thawabu

0:32Speaker 1kua babaieno ali and Benguni kamenenomghine yes ona too, fundisha

0:37Speaker 1kwamba nia yam moyoni muhim Ukuliko tendo lengewe mumtu and

0:42Speaker 1awezakophane Dyambodia massana lakinis sababu yake is sila kum to

0:46Speaker 1kuza mungo bad liquo, need to kuza munyewe nahapon dippo

0:51Speaker 1ibada in a geuka kuama on yesho kataken ya katiza yesu,

0:55Speaker 1kuli kuanawatu, alio penda konekana quawaki rohum bele zawatu. While

1:00Speaker 1you put to a sadaka wala, kawata jue, whilifanyam mattendo

1:04Speaker 1yo ruma kuanamna and bayou kilam too ange is a

1:07Speaker 1kuna the poes and a sema basi weewe uta posadaka

1:12Speaker 1usipige panda beleaako, kamawa, nafiki wafanyavoka, take a masinagogi and

More Biblia Maishani Mwetu podcast episodes →